Waandishi wa habari toka ukanda wa maziwa makuu kati ka semina ya ripoti za ^pamoja mugini Goma

le

 

waandishi wa habari wakati wa mafunzo

Waandishi wa habari 12 wakiwemo wasita toka jamuhuli ya kidemocraiya ya Congo, tatu toka rwanda na tatu toka Burundi, tango january.30.2012 wako kwa mafunzo hapamugini Goma kwa uzamini wa shirika Panos Paris.

Lengo lawo kukutana ni kuandaa ripoti za pamoja kwa lengo la kucangiya kwa vyombo vya habari toka ukanda wa maziwa makuu, ili amani na kimya vidumu kwa maeneo haya.

Cini ya uongozi wa bwana Laurent passicousse mwenyeuraiya wa Ufaransa, kwa uhariri wa Bi Alice Hakizimana toka Burundi ; bi Aziza Clotilde Bangwene mwenyekiti wa shirika Panos paris nchini DRC, wakati wa ufunguzi wa semina aliambiya vyombo vya habari ya kwamba maada mabayo watajadili pamoja ni pamoja na kudumu kwa vikundi vya wanamugambo ambawo kwas asa wameonekana kuwa canjo ca ukosefu wa usalama, na kupelekeya idadi kubwa ya wakaaji wa vijijini kuyahama maskani yawo ; jambo ambalo piya ni sababu ya wanawake kuwa wahanga wa vitendo vya ubakaji na jinai.

Baada ya kushuka uwanjani semu mbali mbali hasa kati ka mitaa ya Masisi na Rutshuru, waandishi wa habari watakomesha kikao cawo idjuma tarehe 10 february 2012, na ripoti zawo zitapatikana kwa mutandao wa shirika la upasha habaro la ukanda wa maziwa makuu( Ondes des grands lacs)www.echos_grandslacs.info.

Lica ya tarifa ambazo kusikilika kwa mp3 za audio kutakuweko piya picha mbali mbali ila za wanawake ambawo kubakwa zinahifaziwa kwa lengo la heshima.

Publicités

Laisser un commentaire

Entrez vos coordonnées ci-dessous ou cliquez sur une icône pour vous connecter:

Logo WordPress.com

Vous commentez à l'aide de votre compte WordPress.com. Déconnexion /  Changer )

Photo Google+

Vous commentez à l'aide de votre compte Google+. Déconnexion /  Changer )

Image Twitter

Vous commentez à l'aide de votre compte Twitter. Déconnexion /  Changer )

Photo Facebook

Vous commentez à l'aide de votre compte Facebook. Déconnexion /  Changer )

w

Connexion à %s